Naibu Wazir wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima(Mb) akisoma hotuba ya ufunguzi wa Kikao cha Bajeti ya Shirika la Magereza ya Mwaka wa Fedha 2013/2014 kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Oktoba 21, 2013 katika Ukumbi wa Edema, Mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima( wa tatu kulia) akifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa Bajeti ya Shirika la Magereza kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 leo Oktoba 21, 2013 katika Ukumbi wa Hoteli ya Edema, Mkoani Morogoro( kushoto kwake) ni Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja( Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima((wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Magereza yenye miradi ya Shirika mara baada ya kufungua rasmi Kikao cha Bajeti ya Shirika la Magereza kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014 leo Oktoba 21, 2013 katika Ukumbi wa Edema, Morogoro( wa tatu kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja( wa pili kushoto) ni Kamishna Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile. Wengine ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa( wa pili kulia) na Kamishna wa Fedha na Utawala, Gaston Sanga( wa kwanza kulia). Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza.
0 comments:
Post a Comment