Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakipokea zawadi ya maua kutoka kwa Xu Xzao Qing (kulia) na Wu Li (Wapili kulia) baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Kampuni ya Elektroniki na Mawasiliano ya HUAWEI yaliyopo Shenzhen China Oktoba 20, 2013. Walikuwa katika ziara ya kikazi nchini humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiangalia kikundi cha muziki wakati kikitumbuiza.
0 comments:
Post a Comment