AUDIO Song | SQUIZER FT. BELLE 9 - MTEMI PESA
Baada ya kuwa kimya kidogo kwenye game, sasa msanii maarufu kama Squizer ameamua kurudi tena kwenye game kwa kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Mtemi Pesa, ambapo ndani ya ngoma hii squizer amemshirikisha msanii kutoka Moro maarufu kama Belle 9.
0 comments:
Post a Comment