AUDIO Song | Vanessa Mdee_Come Over
Baada ya kufanya vizuri na ile ngoma yake ya Closer, sasa mwanadada Vanessa Mdee ameamua kuachia track yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la Come Over. Ambapo mikono ya producer iliyohusika ndani ya ngoma hii ni mikono ya producer Nahreel.
0 comments:
Post a Comment