Yule kijana wa kitanzania Mayunga mshindi wa Airtel TRACE Music star, kweli juhudi za leo mafanikio ya kesho.Sasa mayunga kaachia kichupa chake kinachokwenda kwa jina la NICE CouPLE, chukua dk zako 4 kuIsheki hapa !
kisha Nyunyizia maoni yako kuhusiana na wimbo huu.
0 comments:
Post a Comment