Searching...
Saturday, March 12, 2022

OMMY DIMPOZ UJIO WA ALBUM YAKE, BIASHARA NA MTOTO

Saturday, March 12, 2022

 OMMY DIMPOZ na Muziki :Ambaye ameonekana kufanya matangazo sana kipindi cha hivi karibuni , sasa ameelezea ujio wa Album yake mpya na kasisitiza kuwa itakuwa ya kipekee sana kwani nyimbo Moja na nyingine zitatofautiana sana pia kaweka wazi kwamba ikiwa kutakuwa na uhitaji wa kwenda kuimalizia nje ya nchi atafanya hivyo ,

Ommy na BIASHARA : amesema pia tutegemee Kuona biashara yake KUBWA hivi karibuni (mnamo mwezi June)


Share This:

0 comments:

Know us