Hivi ndivyo unavyoweza kuuliza Bing mpya kuunda picha , Mathematics ,kutibu mmea mwenyewe,au kuuliza chochote;
Kwanza ;Download bing
Fungua image creator.
Bofya kwenye Chat.
Andika kidokezo chako, kinaweza kuanza kwa maneno kama "unda picha" au "tengeneza picha", lakini si lazima. Chat ya Bing kwa kawaida hutambua nia yako.
0 comments:
Post a Comment