Rais wa Sudan, Salva Kiir Mayardit ametangazwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Uamuzi huo umetangazwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Jijini Arusha ambao pia umeridhia Nchi ya Somalia kujiunga na EAC na sasa inakuwa Mwanachama wa nane wa Jumuiya hiyo.
0 comments:
Post a Comment