Bwana RickRoss(rapa) aliwahi kusema njia moja wapo ya kubakia Tajiri ni kuwafanya watu wako wa karibu kuwa na vipato na akatolea mfano kwa famila yake kwa kusema kuwa aliwafanya kuwa matajiri hivyo wakaweza kujitegemea..
"Watu wa familia yangu hawajaniomba chochote kwa miaka mingi. Mama yangu ni milionea. Dada yangu pia ni milionea. Niliwafanyia uwekezaji uliowawezesha"
"Kuwezesha watu wako wa karibu, kuwezesha familia yako ndio ufunguo mkubwa wa kukaa tajiri. Ikiwa wewe ni tajiri na kila mtu aliye karibu nawe ni maskini, itachukua muda mfupi kuwa maskini." - Rick Ross.
0 comments:
Post a Comment