Maumivu ya hedhi: papai huwa na kitu kinachojulikana kwa jina la "papain" ambacho kinahusiana na damu ya hedhi, imeonekana kuchangia katika kurekebisha na kuboresha hali.
Mtoto wa jicho: Papai lina wingi wa Vitamin A na beta-carotene ambazo ni muhimu kwa afya ya macho na uwezo wa kuona.
Pumu: Papai lina beta-carotene nyingi. Ikiwa una pumu, jaribu kula papai.
Afya ya Mifupa: Papai huongeza ufyonzaji wa calsium kutoka kwenye mifupa, hupunguza utolewaji wa kalsiamu na figo, na huwa na protini zinazolinda mifupa.
Afya ya Ngozi na Nywele: Papai na mwingi wake wa vitamin A huamsha tezi za mafuta mwilini na nywele,kwa wenye chunusi hupunguza chunusi ndio maana.
Gesi na Ukosefu wa Chakula: Papai hupunguza asidi tumboni, ikiwa mtu ana kiungulia na maumivu ya tumbo, papai ni tiba.
0 comments:
Post a Comment