UNAMWAMINI MPENZI WAKO KIASI CHA KUMPATIA PESA ZAKO ZOTE AZIENDESHE YEYE WEWE UKIWA HAUPO
Sasa Stori ya gucci mane inatundisha kuwa mapenzi ya mbali yapo na yanawezekana kudumu, jamaa gucci mane alimpatia mpenzi wake dola million 2 zote alizokuwa nazo baada ya yeye kuhukumiwa kwenda jela kwa muda fulani, stori inasimuliwa kuwa mpenzi wa gucci mane ali zitumia pesa hizo kibiashara na kuzalisha mara tatu zaidi, mane alipotoka gerezani mpenzi wake alimkabidhi dollar million 6 kutoka kwemye ile dollar million 2...
0 comments:
Post a Comment