Searching...
Wednesday, September 11, 2013

Sikiliza wimbo wa dyna ambao bit na melody diamond inasemekana kaiba

Wednesday, September 11, 2013

                       
Huu ndio wimbo wa Dayna ambao Diamond ameiba bit na melody na kuuita namba one. Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna. 
 

Share This:

0 comments:

Know us