Katika eneo la kijiji cha MTULINGALA Ubovu wa barabara itokayo kiwanda cha karatasi (MPM) kwenda makambako kipindi cha mvua(masika) umekuwa kikwazo kikubwa kwa wanachi watumiayo barabara hiyo na magari yanayopeleka mizigo na kuchukua mizigo katika kiwanda hicho cha karatasi.pamoja na ukarabati unao fanywa mara kwa mara bado maeneo yale yale yanayo haribika kila mwaka ndiyo yanayo haribika tena baada ya kutengenezwa. ubovu wa barabara huu si tu hatari kwa maisha ya watumiayo vyombo vya moto(magari,pikpik na nk) pia hupunguza uimara wa vyombo hivyo nakupelekea hasara kwa wamiliki na kuriudisha maendeleo nyuma.
Tazama video hii :
0 comments:
Post a Comment