Wimbo wa Diamond unaoitwa Kitorondo umevuja tena ukiwa haujakamilika imemkuta tena Msanii Diamond Platnumz na kusambaa kwa kasi kupitia blogs mbali mbali pamoja na mitandao ya kijamii. Na hiki ndicho alichokisema Mkali huyo aliye jinyakulia tuzo SABA kwenye Mashindano ya K Music awards, kwenye Mtandao
Nyimbo hiyo ya KITORONDO ilikuwa inasemekana Itatoka Jumatatu ya Tarehe 12/05/ 2014 kama ilivo andikwa kwenye mablog mabalimbali.
kudownload wimbo huo bonyeza hapa Diamond Platnumz_KITORONDO demo au HAPA
0 comments:
Post a Comment