Searching...
Tuesday, January 31, 2017

ORODHA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016

Tuesday, January 31, 2017
Bofya hapo chini--
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne nchini Tanzania yameleta taswira mpya yenye muonekano wa mafanikio baada ya ufaulu wa wasichana kukaribia kuwa sawa na ule wa wavulana. hiyo inaonyesha muinuko katika elimu kwa jinsia zote mbili unaelekea kuwa mzuri zaidi kwa miaka ijayo.
Ufaulu umeongezeka kwa kiwango cha asilimia 2.44% tofauti na miaka iliyopita.
Alfred Shauri ashika nafasi ya kwanza kwa ufaulu mzuri katika matokeo haya. watahiniwa 600 wafutiwa matokeo kwa tuhuma za udanganyifu na mmoja kuandika matusi kwenye karatasi yake yakujibia.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhS7DH8dal9S08wYualnu8Tg0_IvqeLgNy9pvDFVviaTOOmE490M7dd7OfB4JmES4wcAqvqjunhDwqVq3nhXQh3b8JURWsMIGpaGbje4RCzM2-jOK01Xapg0HctHzN8c2m8bOMfNm0r4WPG/s1600/Capture.JPG

Share This:

0 comments:

Know us