UTANGULIZI
Shujaa wa zamani ambaye sasa aligeuka kuwa mtawa, anasimulia hadithi ya jinsi Arthur alivyokuwa bwana wa vita licha ya uharamu wa kiti chake cha enzi alipokuwa akibadilika kutoka kwa mtu aliyetengwa hadi shujaa na kiongozi wa hadithi.Sasa stori inaenda hivi Jamaa anaitwa Urther alizaliwa na mfalme kwa mke aliye batili (hawala) Sasa hakuwa na nguvu ya kuwa mfalme Tena na wala kushika madaraka yoyote ya kifalme, jamaa alikuwa mtata Sana hakuwai kushindwa vita, Siku moja alipata wazo kufunga ndoa na mtoto wa mfalme ingine ili kuongeza ulinzi wa ufalme wao, kufika kwenye mfalme akapata kumuona binti mwingine mzuri aliyempenda akasitisha mpango wa kumuo binti mfalme, ambapo Dada ake alimind Sana maana ufalme wao ukawa hatiani kupeleka bishop wao kuuawa kama Ujumbe wa mbwai mbwai.
0 comments:
Post a Comment