KWANNI UNASHAURIWA KUTUPA KOPO LA MAJI KWENYE UVUNGU WA KITANDA CHA HOTEL / LODGE
Sasa wana jamii walioelimika na kuzunguka au kusafiri sana, wanasema. Ni vizuri kutupa chupa ya maji, chini ya uvungu wa kitanda kabla ya kulala kwemye nyumba ya wageni uliofikia, wanasema hii ni nzuri kiusalama na kama kuna kitu chini ya uvungu utajua tu.
0 comments:
Post a Comment