Floyd Mayweather afichua kwanini hakuwahi kuoa licha ya kuwa na watoto wengi
Bondia huyo mwenye umri wa miaka 45 alieleza kwenye Instagram kwamba watu huwa wanamuliza kwa nini hajaoa.
Alisema kuwa hajaoa kwa sababu kiwango cha talaka ni cha juu. Pia alisema mtu pekee ambaye anaweza kumwamini kweli ni yeye mwenyewe na hii huondoa tamaa.
"Sina chochote dhidi ya watu walioolewa, hizi ni imani zangu za kibinafsi." anasema floyd
Floyd ana watoto wengi (4) kutoka kwa wanawake tofauti lakini hakuoa hata mmoja wao. na watano ni mtoto wa kufikia (adopt)
0 comments:
Post a Comment