STORI
...... Ugumu wa safari ya maisha ya huyu mwanamke ulianza sekende chache tu kabla ya kuzaliwa kwake, alikinusa kifo akiwa yeye pamoja na mama yake. Hali iliyopelekea kutokupewa jina lolote kwa sababu ndugu, walijua fika kuwa kifo ni halali yake.
Lakini kutokana na kudra za mwenyezi Mungu, yeye na mama yake walipendwa sana na huu ulimwengu; kwani ilikuwa ni; utata, siku zilipita, na ndugu machozi yalizidi kuwatiririka. Baada ya miezi kadhaa kupita ndipo tabasamu kutoka kwa ndugu lilianza kuonekana, wazazi waliamua neno "Riswema" ndiyo liwe jina ambalo huyu mtoto akiitwa atakuwa anaitika bila kusita.
Riswema maana yake ni mtu anayepishana sana na fursa, yaani ukiitwa Riswema maisha yako yote hayataisha visa na mikasa ya kutisha. Ndugu wote waliamini mtoto huyo amekuja na mikosi, japo Riswema mwenyewe alijiona yeye ni mkombozi kwenye jamii yake. Aliona mbali kwa kuwa yeye ni moja kati watu wachache sana Duniani ambao walitambua na kuzingatia uwepo wao hapa Duniani.
Cha ajabu! maono yake yalipingwa vikali kuanzia nyumbani kwao hadi mtaani. Na hapo ndipo Riswema alipoapa kufa au kupona akitetea kile anachokiamini, alijiaemea moyoni, "hofu ni ukosefu wa maono rohoni".
Sasa basi kitabu hiki kinaonyesha njia 18 ambazo zinaweza kukusaidia kutambua na kutimiza maono yako, kipo kwa mfumo wa softcopy na hardcopy itatoka tarehe ⅛ mwaka huu
Unachotakiwa kufanya ni tuma barua pepe kwa riswema@gmail.com kichwa cha barua andika neno "kitabu" utatumiwa kiungo, kwa lugha nyepesi "link" ambayo itakuunganisha moja kwa moja na msambazaji wetu, asante.
-
NUNUA KITABU HIKI KUPITIA LINK HII...
After spending more than 15 years unlearning things that he learned when he was a child Riswema decided to be clean and raise awareness about addiction. Enjoy.
https://www.amazon.com/Inclined-Fear-vision-Saimon-Kihwele-ebook/dp/B0BL5PVB72/ref=sr_1_1?crid=65R9M5FY86A7&keywords=inclined+FEAR+IS+LACK+OF+VISION&qid=1674663637&s=books&sprefix=inclined+fear+is+lac%2Cstripbooks-intl-ship%2C4227&sr=1-1
#Riswema #kitabu #swahili
VIDEO CLICK HERE https://www.youtube.com/watch?v=XwL2PoDVik4
0 comments:
Post a Comment