Katika lugha ya Kiswahili kuna angalau aina nane za maneno ambazo wataalamu wengi wa lugha wanakubaliana hivyo. Katika mada hii utaweza kujifunza na kubainisha aina zote nane za maneno na jinsi zinvyotumika katika sentensi. Utaweza pia kujifunza namna ya kutofautisha aina za maneno ambazo zimeleta ubishi miongoni mwa wataalamu wengi hususani katika Viunganishi na Vihusishi.
Ubainishaji wa aina Saba za Maneno
Aina Saba za Maneno ya Kiswahili
Bainisha aina saba za maneno ya Kiswahili
Aina za maneno katika lugha ya Kiswahili ni pamoja na hizi zifuatazo: r
Nomino (N)
2. Viwakilishi (W)
. Vitenzi (T)
4. Vivumishi (V)
. Vielezi (E)
6. Viunganishi (U)
7. Vihusishi (H)
8. Vihisishi (I)
Ufafanuzi wa aina za Maneno
Nomino (N)
Nomino ni maneno yanayotaja vitu, watu, na hali kadhalika. Kuna aina mbali mbali za maneno ambazo ni pamoja na hizi zifuatazo:
Nomino
za pekee:Nomino za pekee hutaja na kutambulisha nomino mahsusi na za kipekee.
Yaani kuwa kitu ni hicho na wala si kingine chochote. Hizi ni nomino
zinazohusisha majina kama vile ya watu, nchi, miji, mito, milima, maziwa na bahari.
Henifi za kwanza za nomino za pekee huwa kubwa hata kama nomino hizi
zinapatikana katikati ya sentensi.
Nomino
za kawaida:Hizi kwa jina jingine huitwa nomino za jumla. Nomino hizi
hazibainishi wazi wazi vitu ambavyo habari zake zinatolewa. Kwa mfano ikiwa ni
mtu, mahsusi hatambuliwi. Haituambii kama ni Bahati, Bite ama Neema. Ikiwa ni
mlima hautambuliwi kama ni Meru , Kilimanjaro au Evarest, yaani hutaja vitu
bila kutaja umahususi wake kama ilivyo katika nomino za pekee.Hizi
zinapoandikwa si lazima zianze na kwa herufi kubwa ispokuwa zimetumiwa mwanzoni
mwa sentensi au zimetumika kama anuani ya kutajia kitu kama vile Mkuu wa
Sheria. Katika mfano huu 'sheria' kwa kawaida ni nomino ya kawaida, lakini hapa
inaanza kwa herufi kubwa kwani inataja anuwani ya kipekee.
Nomino
za mguso:Nomino za mguso hurejelea vitu vinavyoweza kuhusika na mwanadamu
kupitia milango ya hisia kama macho, mapua, masikio vidole na ulimiyaani vitu
vinavyoweza kushikika, kuonekana, kunusika na kuonjeka.
Nomino
za jamii:Hizi ni nomino ambazo zinawakilisha vitu vingi katika jina moja, yaani
nimino zinazotaja umla ya vitu vingi. Mfano; jozi ya viatu, umati wa watu,
bustani ya maua, bunga ya wanyama
Nomiono
dhahania:Kundi hili la nomino hutumia kigezo cha uwezekano wa kuhesabika
kuziainisha. Hapa tunatofautisha kati ya nomino zinazowakilisha Vitu
vinavyohesabika kwa upande mmoja, na vile visivyohesabika kwa upande mwengine.
Nomino ya Vitu vinavyohesabikavitanda, nyumba,vikombe vitabu na kadhalika.Zile
zisizohesabika hurejelea Vitu ambavyo hutokea kwa wingi na haviwezi kugawika,
kwa mfano maji, mate, makamasi, maziwa, moshi, mafuta. Aghalabu nomino hizo
huwa sawa katika umoJa na włngł.
Nomino
za kitenzi jina:Hizi ni nomino zinazohusu vitenzi. Huundwa kwa kuongezwa
kiambishi {ku-} cha unominishaji kwenye mzizi wa kitenzi cha kitendo halisi ili
kuki fanya kiwe nomino.
Vivumishi (V)
Vivimishi ni maneno yanayoelezea zaidi juu ya nomino, aghalabu vivumishi hutanguliwa na nomino. Kuna aina kadhaa za vivumushi, miongoni mwa hivyo ni pamoja na hivi vifuatavyo.
Vivumishi:
Vinaweza kujitokeza katika aina tatu ndogondogo.
Vivumishi
vya sifa:hutoa sifa za nomino /kiwakilishi cha nomino. Sifa hizi huweza kuwa
nzuri, mbaya au yoyote ile.
Vivumishi
vya idadi;vivumishi vya aina hii hutoa taarifa kuhusu idadi ya nomino. Kuna
vivumishi vya idadi vinavyoweza kuvumisha nomino kwa kutaja idadi ya nomino
hizo kiujumla jumla bila kudhihirisha idadi halisi.
Vivumishi
vya idadiambavyo huonyesha nafasi iliyochukuliwa na nomino fulani katika
orodha.
Vivumishi
vya kumiliki:-Ni vivumishi vinavyoonesha kuwa kitu fulani kina milikiwa na mtu
au kitu kingine.
Vivumishi
Vioneshi.•vivumishi vya aina hii huonyesha mahali au upande kitu kilipo.
Vivumishi vya aina hii hujengwa na
Vitu vilivyopo karibu na
mzizi{le}kwa Vitu vilivyo mbali.
Vivumishi
vya kuuliza:Hivi ni vivumishi ambavyo hufafanua nomino kwa kuuliza habari zake.
Hujibu swali
ngapi?"
Vivumishi
vya A- unganifu:Vivumishi vya aina hii huundwa kwa mzizi wa kihusishi
aunganifu. Kihusishi hiki huandamana na nomino kuunda kirai husishi ambacho
huvumisha nomino iliyotajwa awali. Vivumishivya aina hii hutumika kuleta dhana
za— Umilikaji, -Nafasi katika orodha.
Vivumishi
vya jina kwa jina:Hizi ni nomino zinazotumika kama vivumishi ambazo hutumika
kufafanua nomino
Vivumishi
vya pekee:Vivumishi hivi huitwa vya pekee kwa sababu kila kimojawapo huwa na
maana maalumu. Pia kila kimojawapo huchukua upatanisho wake wa kisarufi
kulingana na ngeli ya nomino ambayp kingivumisha.
Mizizi vivumiÅ”hi hivi ni: -"te, 0-0te, -enye, -en"ewe, •ingine, -ingineo.
-0te.•Huonyesha ujumla wa kitu au
Vitu
-0-0te:Kivumishi
cha aina hii kina maana ya 'kila", "bila kubagua”
—
enye:Kivumishi cha aina hii hutumika kuleta dhanna ya umilikishaji nomino
fulani.
-enyewe:Kivumishi
cha aina hii hutumika kuisisitiza nomino fulani.
—
ingine:Kivumishi cha aina hii huonyeshw'huonesha 'tofauti na' au 'zaidi ya'
kitu fulani
— ingineo:Kivumishi cha aina hii hutumika
kuoneshw'kuonyesha ziadi.
Vielezi(E)
Vielezi ni maneno yanayofafanua vitenzi, vivumishi au vielezi vingine. Huweza kuarifu kitendo kilichotendeka kilitendeka wapi, namna gani na hata mara ngapi. Aina za vielezi
Vielezi vya Mahali
Vielezi vya mahali hutoa habari kuhusu mahali ambapo kitendo kilifanyika. Aghalabu vielezi hivi huundwa kwa kutumia jina la mahali au kwa kuongeza kiungo -NI mwishoni mwa neno linaloashiria mahali.Kwa mfano:nyumbani, kazini, shuleni mfano 1
Mtoto
huyo hajatülianyumbani tangu alipotokä Mombasa.
Msipitie sokoni mkienda kanisani.
Vielezi vya wakati
Huelezea zaidi kuhusu wakati kitendo kinapofanyika; kwa mfano: jioni, jana, asubuhi, saa Saba, mwaka juzi. Mfano 2
Mzee
Kasorogani amesema kwamba ataoga mwaka ujao
Musa
alilazimishwa kuchimba mtaro saa sita usiku
Kisaka na Musa watakutana kesho
Vielezi vya Idadi
Vielezi vya idadi hutulezea kitendo kilifanyika mara ngapi.
Idadi Kamili:Vielezi vya Idadi Kamili hutaja idadi kamili ya mara ngapi kitendo kilifanyika. Kwa mfano:mara mbili, siku mbili kwajuma, mara kumi Mfano 3
Gibi
alimzaba kofi mara tatu na kisha akakimbia
Daktari
alimwagiza mama huyo achukue dawa mara tatu kwa siku na arudi hospitalini siku
mbili kwa mwezi
Idadi Isiyodhihirika:Vielezi vya Idadi Isiyodhirika huelezea kiasi ambacho kitendo kilifanyika bila kutaja kiasi kamili kwa mfano: chache, nyingi, kadhaa, kidogo, wastani. mfano 4
Mwizi
wa kuku alipigwa mara kadhaåkabia yajQ16koiewå na polisi.
Yeye hunipigia simu mara kwa mara;
Vielezi vya namna au jins
Vielezivya namna hii huonyesha jinsi au namna kitendo kilivyotendeka.Vielezi vya namna vipo vya aina kadhaa.
Vielezi vya namna halisi
Hivi ni vielezi vinavyotumia maneno ambayo kimsingi Yana sura ya vielezi moja kwa moja katika uainishaji wa aina za maneno. Vielezi vya namna mfanano
HÄ°vÄ° ni vieleziambavyo hutumÄ°ka kufananisha vitendo na vÄ°vumÄ°shÄ° au nomino mbalÄ°mbaIÄ°. Hujengwa kwa kuongeza kÄ°ambÄ°shÄ°(kÄ°-)au kÄ°ambÄ°shÄ°(vÄ°-). VÄ°ambÄ°shÄ° hÄ°vÄ° hujulikana kwa jina la vÄ°ambÄ°shÄ° vya mfanano. Mfano; UlÄ°fanyavÄ°zurÄ°kumsaÄ°dÄ°a mwanangu.
VÄ°eIezÄ° vya namna vikarÄ°rÄ°
HÄ°vÄ° nÄ°vÄ°elezÄ° ambavyo hufafanua vitenzÄ° kwa kurudÄ°arudÄ°a neno moja mara mbÄ°lÄ°.
VÄ°eIezÄ° vya namna hali
Hivi nivieleziambavyo hufafanua juu ya kitendo kilichotendeka kimetendeka katika hali gani. VÄ°eIezÄ° vya namna ala/kÄ°tumÄ°zÄ°
HÄ°vÄ° nÄ°vÄ°elezÄ° vinavyotaja vitu ambavyo hutumÄ°ka kutendea kitendo VÄ°eIezÄ° vya namna vÄ°Ä°gÄ°zÄ°
HÄ°vÄ° vinaelezea zaidi jinsÄ° tendo
Iİlİvyofanyİka au küfuatisha sautİ İnayojitokeza wakatİ tendo
linapofanyika au kutokea. VÄ°elezÄ° vya wakatÄ°
Viele:ivya namna hii huonyesha wakati wa kutendeka kwa kitendo.Huweza kutokea kama maneno kamili au hodokezwa kwa kÄ°ambÄ°shÄ° Ä°po.l VitenzÄ°
KitenzÄ° ni neno linaloeleza jambo lililotendwa au lililotendeka. KitenzÄ° huarÄ°fu lÄ°IÄ°lofanyÄ°ka au lililofan»va na kiumbe hai chochote kinachoweza kutenda jambo
KitenzÄ° cha KÄ°swahÄ°IÄ° huundwa na mzÄ°zÄ° pamoja na vÄ°ambÄ°shÄ° vyenye uamÄ°lÄ°fu wa aina tofautÄ° AÄ°na za vitenzÄ°
VitenzÄ° vikuu:VÄ°tenzÄ° vikuu ni
vile ambavyo hubeba ujumbe muhimu wa kÄ°arÄ°fu cha sentensi.
2. VitenzÄ° visaÄ°dÄ°zÄ°:HÄ°vÄ° hutoa taarÄ°fa ya kusaÄ°dÄ°a vitenzÄ° vikuu. Hutoa taarÄ°fa kama vile uwezekano , wakatÄ°, hali n.k.VÄ°tenzÄ° visaÄ°dÄ°zÄ° daima hutumÄ°ka na vitenzÄ° vikuu, ndÄ°vyo vinavyobeba vÄ°ambÄ°shÄ° vya wakatÄ°.
VitenzÄ° vishÄ°rÄ°kÄ°shÄ°: HÄ°vÄ° ni
vitenzÄ° vishÄ°rÄ°kÄ°shÄ° ambavyo havichukui vÄ°ambÄ°shÄ° vya nafsi, njeo ama hali.
Vitenzi vishirikishi vipungufu ni vya aina mbili, ambavyo ni kitenzi
kishÄ°rÄ°kÄ°shÄ°"nÄ°" cha uyakÄ°nÄ°shÄ°na kitenzÄ° shÄ°rÄ°kÄ°shÄ° s'si" si
cha ukanushi.
4. VitenzÄ° vishÄ°rÄ°kÄ°shÄ° vikamÄ°lÄ°fu:HÄ°vÄ° huchukuwa vÄ°ambÄ°shÄ° vÄ°wakÄ°lÄ°shÄ° vya nafsÄ°, njeo na hata hali. Kwa mfano;ndiye, ndio, ndipo_
Kazi za kitenzÄ° kikuu
•
Kueleza tendo linalofanywa na mtenda/mtendwa. Kuonyesha wakatÄ° tendo linapotendeka
• Kuonyesha hali ya tendo
• Kuonyesha nafsÄ°
•
Kuonyesha kauIÄ° mbaIÄ° mbalÄ° za tendo
• Kuonyesha urejeshÄ° wa mtenda/mtendwa/ mtendewa,” kujitendea
Kazi za kitenzi kishirikishi
• KushÄ°rÄ°kÄ°sha vÄ°pashÄ°o vingÄ°ne katika sentensÄ°
• Kuonyesha tabia fulanÄ° Ä°liyopo au Ä°siyokuwepo ya mtu fulanÄ° au kitu fullanÄ°.
• Kuonyesha cheo au kazi anayofanya mtu.
• Kuonyesha ÅŸifa za mtu.
• Kuonyesha umoja wa vitu au watu
• Kuonyesha mahali
hlhule tuhvle@qmail.c.m
• Kuonyesha msisitizo
• Kuonyesha umilikishi wa kitu chochote.
Aina za wakati katika kitenzi
• Wakati uliopita
•
Wakati uliopo Wakati ujao
Hali mbalimbali za kitenzi
• Hali ya masharti
• Hali ya kuendelea kwa tendo
•
Hali ya kutarajia, kuamuru na kuhimiza
Viwakilishi (W)
Viwakilishi ni aina ya neno linaloweza kutumika badala ya jina/nomino .
Aina za viwakilishi
a. Viwakilishi vioneshi au viwakilishi vya kuonesha:Viwakilishi vionyeshi hutumika badala ya nomino kwa kutumia kuonyesha nomino inayorejelewa bila kuitaja. Kwa mfano; huyu, yule, hapo, kule, humo. Huyu si mwenzetu kabisa; kule hakufai kwenda watoto.
b. Viwakilishi vya nafsi: Kwa mfano:mimi, wewe; yeye, sisi, nyinyi, wao
c. Viwakilishi vya kuuliza/viwakilishi viuliziambavyo huashiriwa na mofu /kiambishi{pi}ambavyo katika tungo hutanguliwa na kiambishi ngeli cha jina husika. Kwa mfano, Wangapi wameondoka? Kipi kimekosewa?
d. Wiwakilishi vya urejeshiambavyo vinajengwa na shinaamhapamoja na vipande vidogo vidogo —ye-, -cho-, vyo. 10, po, mo, kon.k ambavyo vinachaguliwa kulingana na ngeli ya majina yanayorejeshwa navyo. Mfano; aliyeondoko hatapewa chake.
e. Viwakilishi vya idadi:Viwakilishi hivi hutuarifu kuhusu idadi ya nomino hiyo huweza kuwa kamili (halisi) au yajumla.
f. Viwakilishi vya pekee/vimilikishi:-Hivi ni aina ya vivumishi vya pekee kuwakilisha nomino. Hufuata sheria za upatanisho za nomino zinazowakilishwa. Mfano; '-angu, -ako, -ake, -etu, -enu, -ao kwangu haingii megini, ehako haikna thamani.
g. Viwakilishi vya A-unganifu:- Viwakilishi hivi huundwa kwa kihusishi chaAunganifukusimamia nomino iliyomilkiwa, inayochukuwa nafasi fulani katika orodha au nomino ya aina fulani. Kihusishi á-unganifu huandamana na nomino kuunda kirai husishi ambacho husimama mahali po ppmino. Mfano;ya kwakeyamemshinda,vya wazeehaviguswi.
h. Viwakilishi vya sifa:Haya ni maneho 9a 4ifa ambayo lhuchukuá nafasi ya nomino katika setensi. Kwa mfano -eupe, -janja, -tamu
1. Viwakilishi vya Idadi;ldadi Kamili- hutumia namba kuelezea idadi ya nomino. 'saba, mmoja, ishirini' -Hutumika kusimama badala ya nomino kwa kurejelea idadi yake. Idadi Isiyodhihirika- huelezea kiasi cha nomino kwa ujumla, bila kutaja idadi kamili: 'chache, nyingi, kadhaa, kidogo, wastani'
Viunganishi
Ni maneno, kikundi cha maneno au kiambishi chenye kuunganisha maneno, kirai, kishazi au sentensi. Dhima ya kiunganishi ni kuunga vipashio viwili au Zaidi vyenye hadhi sawa kisarufi. Aina za viunganishi
Viunganishi
huru:hivi ni viunganishi vinavyosimama pekee katika tungo, katikati ya vipashio
vinavyoungwa.Viunganishi huru hujumuisha:
Viunganishi
nyongeza/vya kuongeza, kama vile, na, Pia, pamoja. Baba na mwanae wanacheza
mpira, Alichukua chakula chote pamoja na akiba iliyokuwepo.
Viunganishi
Vya sababu/visababishi, mfano, kwa sababu, kwa kuwa, kwa vile, madhali, ili.
Alimsogelea karibu ila ambusu, Atatumikia kifungo madhali amebainika kuwa na
hatia.
Viunganishi
Vya uteuzi/chaguo. Mfano; au, Naweza kwenda nyumani au shuleni.
Viunga nishi Vya kutofautisha/vya kinyume:ila,
lakini, kinyume na, japokuwa, ingawa, ilihali. Mfano; Mkumbatie lakini
usimbusu.
Viunga
nishi Vya wakati.Wakati mfano; Mwalimu aliuliza swali wakati yeye amesinzia.
Viunganishi Vya masharti;ikiwa, iwapo, hadi-
Mfano; utaruhusiwa kuingia hapa ikiwa umevaa mavazi yanaostahili.
Viunganishi vihusishi; miongoni mwa, kati ya;
mfano: Jane alikuwa miongoni mwa washindi kumbi bora kitaifa.
Viunganishi
tegemezi:ni viambishi ambavyo hutiwa katika kitenzi cha kishazi tegemezi ili
kukiunga na kitenzi kikuu cha kishazi huru ambavyo kwa pamoja huunda sentensi
changamano au shurtia. Mfano; -po-, -cho-, -o- Nili-po-amka...,
Ali-cho-mwelez..., alizo-o-neshwa.. .n.k
Vihusishi
Ni maneno ambayo huonyesha uhusiano uliopo baina ya neno moja na jingine. Vihusishi aghlabu huonyesha uhusiano kati ya nomino au kirai nomino na maneno mengine.
Mambo yanayoweza kuonyeshwa na vihusishi
Huonyesha
uhusiano wa kiwakati; Mfano, ni vizuri kupiga mswakibaada yachakula.
huonyesha uhusiano wa mahali: mfano,
Ninaishikaribu nakwa Mtogole
huonyesha uhusiano wa kulinganisha:
Amekulazaidi yauwezo wake.
huonyesha
uhusiano wa umilikaji: Usiguse hicho kitabu nicha kwangu
huonyesha uhusiano wa sababu/kiini: nimerudi
kwaajili yakuonana na mkuu wa shule.
Aina za vihusishi
a.
vihusishi Vya
Wakati
b. vihusishi Vya mahall
e. vihusishi Vya Vya kulinganisha
d. vihusishi Vya sababu
e. vihusishi Vya aWkifaa mfano; -kwa
f. vihusishi vimilikishi
g. vihusishi Vya namna; Kichwacha mviringo
h. vihusishi 'na' cha mtenda mfano, amepigwana Juma.
tvhule@qmail.com
Matumizi ya kihusishi "kwa"
huonyesha mahali au upande:
Mfano, amekwenda kwa mjomba wake.
2. huonyesha sababu au kisababishi cha jambo: mfano;
ninaishi kwa ajili yako huonyesha wakati: mfano; Sina
nafasi kwa sasa.
4. huonyesha sehemu fulani ya kitu kikubwa, mfano: Mpira
umekwisha Wakiwa wamefungana nne kwa tatuhuonyesha jinsi kitendo kilivyotendeka:
Mfano; alimvuta kwa nguvu sana ndo maana limevunjika.
Vihisishi/Viingizi
Ni maneno ambayo hutumiwa kuwakilisha hisia fulani.
Vihusishi vinaweza kugawan»va katika makundi yafuatayo:
Vihisishi vinavyoonyesha mhemko au hisi kali
a. vihisishi Vya furaha
b. vihisishi Vya huzuni
c. vihisishi Vya mshituko
d. vihisishi Vya mshangao
Vihisishi Vya maamrisho au msisiti10 wa jambo au tukio
a. vihisishi Vya maadili
b. vihisishi Vya mwiitiko
c. vihisishi Vya ombi
d. vihisishi Vya bezo
e. vihisishi Vya kutakia heri
f. vihisishi Vya kukiri afya/jambo
g. vihisishi Vya kiapo
h. vihisishi Vya salamu
0 comments:
Post a Comment