Ni Septemba 2023, Laika alisafiri hadi Tanzania kukutana na Harmonize kwa mara ya kwanza kabisa katika safari yake ya kikazi.
Licha ya kuwa uhusiano wao kuleta gumzo mtandaoni, wasanii hao wawili hawakuwahi kukutana na walipokutana, ukaribu wao ulizua tetesi za uhusiano wa kimapenzi.
Wawili hao walitangulia kuchora tatoo zinazolingana kwenye shingo zao siku chache baada ya kukutana, jambo ambalo lilionekana kuimarisha uvumi huo.
"Sisi ni marafiki tu"alitilia mkazo laika na anaamini Mkurugenzi Mtendaji wa Konde Music pia hana hisia za kimapenzi kwake.
0 comments:
Post a Comment