Searching...
Friday, October 20, 2023

Vikosi vya Marekani vyazuia mashambulizi ya Mashariki ya Kati huku vita vya Israel na Hamas vikitishia kusambaa

Friday, October 20, 2023

 Vikosi vya Marekani vinakabiliwa na vitisho vilivyoongezeka, jambo linalozua wasiwasi kwamba vita vya Israel na Hamas vinaweza kusambaa katika eneo lote.



Ndege zisizo na rubani na makombora zilirushwa katika kambi zinazohifadhi wanajeshi wa Marekani nchini Iraq siku ya Alhamisi. Mashambulizi hayo yalisaidia kuiweka Washington katika hali ya tahadhari kwa ajili ya shughuli za makundi yenye silaha yanayoungwa mkono na Iran kufuatia matukio kama hayo nchini Iraq na Syria siku ya Jumatano, huku meli ya kivita ya Marekani ikinasa makombora yaliyokuwa yakielekea Israel.

Share This:

0 comments:

Know us