Searching...
Wednesday, November 15, 2023

Filamu Yenye Seti YA mwaka 2070 : The Creater Download

Wednesday, November 15, 2023
Set ni mwaka 2070, Ex Special Force Agent anapewa kazi ya kumtafuta 'The Creator' anaesemekana kuwa ameunda silaha ya hatari ambayo ina mifumo ya akili bandia (AI) inayoelezwa kuwa na uwezo wa kuangamiza maisha yote Duniani.
Mission ni afanye vyovyote inavyotakiwa aweze kuangamiza kila kitu kabla watu wabaya na wao wanaisaka kwa matumizi ambayo wanayajua wao! Balaa hiloo. Huu mzigo noma, sema uwe na akili sasa
Share This:

0 comments:

Know us