Searching...
Thursday, November 9, 2023

HIZI NDIO HERENI ZENYE THAMANI YA KUWEZA KUGHARAMIA MAZISHI

Thursday, November 09, 2023

 Morganfreeman SEMA Siri ya hereni zake za dhahabu alinazozivaa kwa miaka mingi
Kupitia Mtandao wa Kijamii wa Instagram Freeman amemjibu Shabiki kwa Kumuambia “Nimekua nikiulizwa kuhusu hereni hizi kila wakati, Ukweli ni kwamba, hereni hizi zina thamani ya kutosha kwa mtu kuninunulia jeneza ikiwa nitakufa ugenini. Ndio maana mabaharia walikuwa wanavaa na ndio maana navaa” Alijibu morgan


Morgan Freeman ni mwigizaji na mtayarishaji wa Marekani. Anajulikana kwa sauti yake nzuri kwa matangazo na  katika aina fulani za filamu. Katika kazi yake yote iliyochukua miongo mitano, amepokea sifa nyingi, ikijumuisha Tuzo nyingi ikiwemo Tuzo la Golden Globe.
Share This:

0 comments:

Know us