Jeshi la Wanamaji la Uingereza ndio liliizamisha meli hiyo wakati wa mapigano, wafanyakazi 11 tu kati ya 600 walionusurika
Takriban tani 200 za dhahabu, fedha na zumaridi zinadhaniwa kuwa kwenye meli maarufu ya Uhispania ambayo ilizama wakati wa mapigano na Waingereza mnamo 1708.
Colombia imetangaza kuwa meli hiyo itaibuliwa kabla ya muda wa uongozi wa Rais Gustavo Petro kukamilika 2026.
Lakini Colombia inakabiliwa na madai pinzani kutoka Uhispania, Bolivia, na kampuni ya Amerika ambayo inadai iliipata Kwanza.
________-¯-------------_______
Ads
---------------------------------
________________________________
0 comments:
Post a Comment