APEWA FIDIA YA MABILIONI KWA KukaKAA GEREZANI MIAKA 24 KIMAKOSA
Steven Phillips alikaa gerezani kwa miaka 24 kwa uhalifu ambao hakufanya. Alipoachiliwa mnamo 2008, alipokea fidia ya $ 6 milioni. Kisha, mke wake wa zamani, ambaye alimtaliki alipokuwa gerezani, alishtaki ili kupata sehemu ya fidia. Hakupokea hata senti.
0 comments:
Post a Comment