Kenneth Makate.wa Afrika Kusini alikataa rufaa juu ya kesi yake Mahakama ya Juu ya Rufaa nchini imetupilia mbali rufaa ya Vodacom dhidi ya mbunifu huyo wa huduma ya ‘Tafadhali Nipigie,’
Aidha, mahakama imeiamuru Vodacom imlipe Makate kati ya asilimia 5 hadi 7.5 ya jumla ya mapato yaliyotokana na huduma hiyo kwa zaidi ya miaka 18 iliyotumika, pamoja na riba.
0 comments:
Post a Comment