AVATA : THE LAST AIR BENDE
Hii show ilianza kuonyeshwa kama animation na nadhani baadhi ya watu watakuwa tayari wameiona hivyo sio story ngeni sana, however this time wanaenda kuifanya kama live-action Kama ndo utakuwa unaangalia kwa mara ya kwanza, don’t worry we got you covered, lakini kwa wale ambao ni familiar na story hii, na wanataka kujikumbusha tu, don’t worry as well cuz I’ll be brief
Now, Avatar imekuwa set katika ulimwengu ambao kuna kingdoms (falme) nne tofauti zenye asili ya bara la Asia (hii ni according to animation, inaweza ikabadilishwa kwenye show) Falme hizo nne zinawakilisha elements nne ambazo ni Water, Air, Earth na Fire.
Sasa Watu fulani kutoka katika kila kingdom huweza kucontrol hizi elements nao huitwa “Benders”. So kama ambavyo majina ya kingdoms yalivyo, watu hawa huitwa majina kutokana na elements wanazoweza kucontrol, hivyo kuna Earthbenders, Firebenders, Waterbenders pamoja na Airbenders.
Pia, sikuzote huwa kuna mtu mmoja ambae anaweza kucontrol elements zote hizo nae huitwa “Avatar”. Avatar pia huwa ana-possess spirits za Avatar wengine wote waliopita kabla yake.
Katika kipindi chote hicho, kingdom zote hizi hazikuwahi kuwa na uadui kati yao, maisha yalikuwa ya amani sana na walikuwa wanasaidiana pale panapobidi. Lakini story inasema baada ya miaka kadhaa kupita, Fire Nation ikataka iwe na nguvu dhidi ya kingdoms nyingine, hivyo ikaanza kuzishambulia. Iko hivi Akiwa ndo mtu pekee mwenye uwezo wa kucontrol elements zote na kuendelea kuilinda amani katika falme hizo especially kipindi ambacho Fire Kingdom wanakichafua, Avatar alipotea. Hakuna mtu ambae alikuwa anafahamu alipoenda na situation hiyo ilikaa kwa muda mrefu sana.So, series inaanza ikiwa ni baada ya miaka 100 kupita and no one has seen the Avatar for all those years na hii ni kwasababu Aang aliambiwa kuwa he’ll be the next Avatar tangu akiwa na miaka 12 (which is unusual kwasabababu normally huwa wanaambiwa wakiwa na miaka 16).
So kutokana na udogo aliokuwa nao na kuona kwamba atakuwa na responsibilities kubwa za kuhakikisha kunakuwa na balance na amani katika falme hizi, dogo akakimbia leaving his people na kujikuta kwenye bonge la storm ambako anaji-gandisha kwenye Avatar state ili aweze kubaki mzima. Sasa tuendelee mbele Kipindi kidogo kikapita and as I said, the Fire Nation got power-hungry na kuanza kuattack nations (kingdoms) nyingine starting with the Air Nomads.
Walianzia huko maana walitaka kwanza kumuua Avatar (knowing that kwa kufanya hivyo especially akiuwawa akiwa kwenye Avatar state, ile cycle ya Avatars itakuwa imekatishwa, na hakutakuja kutokee Avatar mwingine yeyote) ambae kimsingi ndo threat kubwa kwa Fire Nation.Hivyo walifanikiwa kuwateketeza Air Nomads lakini too bad for them
hawakuweza kumpata Aang.
Siku moja (now after 100 years) wakati Katara na Sokka (mtu na kaka yake hawa, wote wakiwa wanatokea water nation) katika pitapita zao walikutana na bonge moja la iceberg ambalo Aang alikuwa ndani yake.
Kwa kutumia her water bending skills, Katara aliweza kupasua ndani yake na Aang anatoka.
Aang alikuwa na miaka 12 tu wakati anakuwa freezed kwenye iceberg, but he stayed there for 100 years, so wakati Katara na Sokka wanakuja kuonana nae, alitoka mule ndani akiwa na miaka 112 lakini sura, mwili, mwonekano na hata mawazo yake yalibaki vilevile kama ya mtoto wa miaka 12. So concept ya series nzima, ni Katara na Sokka kumtembeza Aang na kumsaidia kumaster elements zote ili aweze kumshinda Firelord na kurejesha balance katika falme hizi ambayo imepotea kwa kipindi kirefu sasa.
Download hapa 👇🏽
0 comments:
Post a Comment