Searching...
Friday, August 30, 2013

DIAMOND AFANYA UZINDUZI WA VIDEO YAKE MPYA!

Friday, August 30, 2013

Diamond Platnumz  AUGUST 29 alifanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya, Number 1 kwenye ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo ndugu zake, marafiki, wasanii wenzake na wadau mbalimbali wa muziki nchini

Diamond akiongea  na watu

Wasafi wakitumbuiza katika uzinduzi huo

Mama Mzaa chema Naye  hakuwa nyuma kumpa  mahope mwanae


Mama Diamond Na Qn Darn
Add caption

 WAdau na wasanii waliopewa mualiko  Nao Pia hawakuwa nyuma


 



 Wakisubiri Kuona Video Mpya Kwa hamu mno!


 

Share This:

0 comments:

Know us