Searching...
Thursday, January 26, 2017

ANGUKO LA MAREKANI LAKARIBIA

Thursday, January 26, 2017
Hatua iliyochukuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump yakujenga ukuta kati yake na nchi ya Mexico imeongeza uadui kati ya nchi hizo mbili.  Ushirikiano huo usio na usawa unaweza kupelekea kuimarika kwa umoja wa nchi adui ambazo zinatabiriwa kuinuka dhidi yake wakati ujao.
Marekani yatabiriwa kuyumba kiuchumi, kisiasa, kijamii na, kivita.  Utabiri huu umetolewa baada ya mwanadada wakichina kutoa maoni yake baada ya kuzisoma alama za utabiri zijulikanazo kama Chinese Zodiac kwa muda wa miaka ishirini.
Hii inatokana na maamuzi ya Rais wa Marekani Donald Trump kutaka kuimarisha uhusiano baina yake na mpimzani wake mkubwa Rais wa Urusi Viladmir Putin ambae anatabiriwa na kusadikika kuitumia nafasi hiyo kujiimarisha kivita na kiuchumi baada ya kuzifahamu njia zitumiwazo na nchi hiyo ya Marekani. KWA TAARIFA ZAIDI
Share This:

0 comments:

Know us