Rais wa Mexico akataliwa kuingia Marekani
Rais wa Marekani, Donald Trump amlazimisha Rais wa Mexico, Enrique Pena Nieto kuchangia ujenzi wa ukuta katikati ya mipaka ya nchi hizo mbili, kwa matamshi ya vitisho kuwa hataruhusiwa kuitembelea nchi ya Marekani asipo tii amri hiyo.
KWA TAARIFA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment