Searching...
Friday, November 3, 2023

VIPANDE 30 VYA YUDA VINAVYOTUMIKA KUJITWALIA MAMLAKA

Friday, November 03, 2023

Father Vergara ni exorcist - Hawa ni wale ambao wanatibu watu wanaosumbuliwa na pepo na nguvu za giza. Sasa huyu Father alikua exiled kuna vitu vilitokea!

Akapelekwa huko ndani ndaani katika kamji kamchongo, akiwa huko kuna matukio ya ajabu yanaanza kutokea Katika kuanza kufanya utafiti anagundua kuna mpango wa kihuni ambao unasukwa!

Tena huo mpango unahusishwa na zile sarafu za silva 30 alizopewa Yuda Eskariot kumsaliti Yesu, sasa inasemekana kuna moja ipo ambayo ina uwezo wa kufanya mambo mabaya🎬🪢🎧🔥🔥🔥 mzigo una season 1 ya pili imeanza kutoka hivi Bonyeza HAPA, Jiunge na group, kupata Updates za Movies mpya Kila siku
Share This:

0 comments:

Know us